Rais mstaafu wa Marekani Barack Obama amehitimisha ziara yake nchini Tanzania ambayo ilikuwa ya mapumziko na kuelekea Kenya. Bw Obama amekuwa kwenye hifadhi ya taifa ya Serengeti kwa usiri mkubwa ...
Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama anatarajiwa kuwasili nchini Kenya siku ya Jumapili katika ziara ya kibinafsi. Obama na wageni wake watahudhuria uzinduzi wa Sauti Kuu ,Shirika lisilokuwa la ...