Watafiti nchini Marekani wamegundua uhusiano wa vinasaba kati ya watu wenye asili ya Kiafrika na aina kali ya saratani ya matiti. Wanatumai matokeo yao yatahimiza watu weusi kushiriki katika ...
Saratani ya matiti ndiyo aina inayojulikana zaidi ya saratani, ikiwa na visa zaidi ya milioni 2.2 duniani, kulingana na data ya 2020 kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO). Inakadiriwa kuwa mwanamke ...