Maandamano ya hivi karibuni nchini Kenya ambayo yamekuwa yakifanywa na vijana yanayofahamika kama maandamano ya Gen-Z na yaliwashangaza sio Wakenya tu bali Afrika na ulimwengu mzima, hususan ni ...
Kenya imeshuhudia maandamano siku za hivi karibuni yaliyokuwa yakishinikiza kuondolewa kwa Muswada wa Fedha 2024, uliopendekeza ushuru zaidi ili kufadhili bajeti ya mwaka mpya wa kifedha.