Mwandishi hodari Mark Twain alisema; “Andika lakini uwe tayari kulaumiwa”. Mimi niko tayari kulaumiwa lakini hisia zangu, manung’uniko yangu yaufikie ulimwengu na viongozi wanaotuongoza ...
Bara la Afrika limeanza kujinusuru na kujikomboa huku likianza pia kujifunza demokrasia pole pole japo katika mataifa mengine huishia kwa upanga — alimradi amani ipatikane. Utawala wa kimabavu ...