tangu mwaka 1978 ilipomaliza mshindi wa pili nyuma ya wenyeji Ghana. Timu hizo mbili zitarudiana nchini Uganda katikati ya mwezi Oktoba, mwaka huu.