Kocha wa timu ya soka ya wanawake ya Kenya chini ya miaka 17, Mildred Cheche ana kazi ya kujenga upya kikosi chake kabla ya mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia la Wanawake dhidi ya Uganda mwezi Machi.
Leo Rais William Ruto wa Kenya amezindua mradi wa kiwanda cha gesi ya kupikia wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 130 wa kampuni ya Taifa Gas inayomilikiwa na Rostam. Baada ya vikwazo na ...