Ndege aina ya flamingo, ambao pia hujulikana kama korongo, wamepungua kwa zaidi ya asilimia 50 nchini Kenya, kutokana na mabadiliko ya hali ya anga ambayo yamewafanya ndege hao kuhama mbuga la ...