Sekta ya kilimo imekuwa na mchango mkubwa katika uchumi wa Tanzania ambapo mwaka uliopita ilichangia asilimia 29.1 ya pato la jumla la taifa. Lakini je, yapo mafanikio na changamoto ya kufanya ...