Ukikagua vizuri miamala ambayo Zara hufanya inaonyesha ametumia maelfu ya dola kwenye TikTok. Zara, sio jina lake halisi, ana umri wa miaka 20, anaishi Marekani na ana asili ya Kisomali.
Maelezo ya sauti, Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Makerere, anatarajiwa kuchukuliwa hatua za kinidhamu 1 Juni 2017 Katika hali isiyo ya kawaida mwanafunzi wa chuo kikuu cha Makerere nchini Uganda ...