Mwanamume asiye na makazi mjini Osaka akikarabati baiskeli za HUBchari. Kawaguchi Kana ni mkuu wa shirika lisilokuwa la kujipatia faida linaloendesha biashara hiyo. Anasema inahusu zaidi ya ajira.
Waandamanaji nchini Bangladesh wamevamia makazi rasmi ya waziri mkuu, huku wimbi la maandamano dhidi ya serikali likiendelea. Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina amejiuzulu na kukimbia nchi ...