Unaweza kutengeneza aina nyingi za mapishi ya mayai. Mayai yanayofahamika zaidi ni ya kuku. Lakini pia kuna mayai ya bata, bata bukini na mayai ya kware. Yai moja la kuku lina ...