Korea Kaaskazini imefyatua makombora mawili ya masafa marefu kutoka pwani ya mashariki ya taifa hilo , jeshi la Korea Kusini limethibitisha. Japan pia iliripoti kwamba kuna kitu kilichofyatuliwa ...
"Maelezo yote, ikiwa ni pamoja na kasi na urefu, yanalingana na sifa za kombora la masafa marefu la ICBM," Zelenskiy alisema baada ya shambulio la Alhamisi asubuhi kwenye jiji la mashariki mwa ...
Iliruhusu wanahabari wa NHK jana Alhamisi kuangalia mabaki kutoka kile ilichosema kilikuwa ni kombora la balistiki la masafa mafupi ya Korea Kaskazini. Taasisi hiyo ilisema silaha hiyo inaitwa KN-23.