Korea Kaaskazini imefyatua makombora mawili ya masafa marefu kutoka pwani ya mashariki ya taifa hilo , jeshi la Korea Kusini limethibitisha. Japan pia iliripoti kwamba kuna kitu kilichofyatuliwa ...
"Maelezo yote, ikiwa ni pamoja na kasi na urefu, yanalingana na sifa za kombora la masafa marefu la ICBM," Zelenskiy alisema baada ya shambulio la Alhamisi asubuhi kwenye jiji la mashariki mwa ...
Korea Kaskazini imerusha makombora kadhaa ya masafa mafupi siku ya Jumanne, Januari 14, jeshi la Korea Kusini limetangaza, siku chache kabla ya kuapishwa kwa Donald Trump na wiki moja baada ya ...
Wakuu wa Majeshi ya Korea Kusini wanasema wanaamini Korea Kaskazini ilirusha makombora kadhaa ya balistiki ya masafa mafupi leo Jumanne asubuhi. Yalipaa upande wa mashariki kuelekea Bahari ya Japani.