Kylian Mbappe ameiambia Paris St-Germain kuwa hataongeza mkataba wake zaidi ya 2024, lakini anataka kusalia msimu ujao. Hilo likitokea, mabingwa hao wa Ufaransa wana hatari ya kumpoteza kwa ...
KIPA wa zamani wa Yanga, Simba na Taifa Stars, Said Mohammed ‘Nduda’ ameikumbushia Dabi ya Kariakoo aliyosimama langoni na kufungwa mabao manne wakati Yanga ikifa 5-0 mbele ya Simba katika ...
Forbes wanakadiria mshambuliaji wa Paris St-Germain Mbappe, 23, atapokea $128m (£115.2m) msimu huu. Mchezaji mwenzake wa Mbappe wa PSG Messi anashika nafasi ya pili kwa $120m (£108m) huku ...