Imeelezwa kwamba kuna faida nyingi za kupanda miti mbali na uhifadhi wa mazingira na kuwa hatua hiyo huongeza pia thamani ya jengo kwa asilimia 30.