Licha ya kufahamika zaidi kimataifa baada ya kugunduliwa kwa gesi na uzalishaji wa zao la biashara la korosho, mkoa wa Mtwara ulioko kusini mwa Tanzania pia ni maarufu kwa kilimo cha chumvi ...
Onyo hilo linafuatia ghasia ambapo ofisi kadha, maduka na nyumba zimechomwa katika mkoa wa Mtwara ulioko kusini mashariki mwa Tanzania leo. Akihutubia kupitia televisheni ya taifa, TBC1 ...