Bei ya kuku imepanda kutoka Sh20,000 hadi Sh55,000 kulingana na ukubwa, huku baadhi ya wakazi wa jijini Mwanza wakigeukia nyama ya ng'ombe, ambayo bei yake imeshuka baadhi ya maeneo kutoka Sh10,000 ...
Maelezo ya video, Rastafari wa Mwanza, Tanzania ambao wana itikadi za kipekee 13 Juni 2018 Katika mji wa Mwanza, kaskazini magharibi mwa Tanzania huwa kuna jamii ya wafuasi wa itikadi za Rastafari ...
Wajawazito wametakiwa kushiriki mazoezi na mbio fupi ikielezwa kwamba yanasaidia kuimarisha mwili, mzunguko wa damu na kuzuia ...
MWANZA: MGOCHI Herman ,29, mwendesha bodaboda mkazi wa Kitangiri jijini Mwanza amekutwa amekufa baada ya kushambuliwa sehemu ...
KAGERA Sugar imelifunga rasmi faili la kumshawishi mshambuliaji George Mpole kwa kile ilichodai haitaki kuharibu utulivu wa ...
Mhandisi Kalisti amesema mpaka sasa ujenzi wa kunyanyua reli, kuweka mataluma, kupanda nyasi kando kando ili kuzuia ...
KOCHA Mkuu wa Namungo FC, Juma Mgunda amesema hana wasiwasi na kikosi chake kwenye vita ya kubaki Ligi Kuu Bara kwani ...
FAMILIA ya kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chonchorio anayedaiwa kutoweka Jumapili asubuhi akiwa kwenye mazoezi, ...
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Diana Bundala maarufu kama "Mfalme Zumaridi kwa kosa la usafirishaji haramu wa binadamu vilevile unyonyaji wa kujipatia kipato. Tarehe 26 mwezi Februari ...
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, Mohammed Kiande, amewataka wananchi kujitahidi ...
当前正在显示可能无法访问的结果。
隐藏无法访问的结果