hivyo kula ndizi kabla au baada ya kula kunapendekezwa, lakini watu wenye kisukari wanapaswa kuepuka ndizi ambazo zimeiva sana. Ukila ndizi zinakufanya ujisikie kushiba haraka, zinajaza tumbo ...
Kwa hivyo ni vyakula gani ambavyo mtu mwenye kisukari hapaswi kula. "Vyakula ambavyo unapaswa kuepuka kila mara ni pamoja na vyakula vya makopo, ndizi, maembe, papai, tikiti maji, tende ...