hivyo kwa watu wanene ambao hawawezi kudhibiti hamu yao ya kula wanashauriwa kula ndizi mbichi. Madini ya potasiamu ni muhimu kwa utendaji mzuri wa figo na kudhibiti shinikizo la damu. Ndizi ...
Wanasayansi kote duniani wanashughulikia mbinu za kuzuia ndizi kupotea dunianai kufwatia ugonjwa wa Panama.. Ugonjwa huu ambao umeathiri mashamba unafikia mmea wa ndizi kupitia kwa mchanga.