Chanzo cha picha, Getty Images Njia bora zaidi ya kudhibiti kutu ya ngano ni kwa kuzalisha aina za ngano sugu, lakini aina mpya za fangasi huwa tishio linaloendelea. Mnamo 2013, aina mpya ya kutu ...