Steinunn Gunnsteinsdóttir anakiri kuwa iliichukua familia majaribio ya mara kadhaa kuweza kutengeneza ngozi kutokana na samaki. "Mara 200 ya kwanza tulitengeneza supu ya samaki iliyokuwa na ...
ngozi ya samaki. Lakini kilichofanyika ni ufundi tu ambao umekuwa ukitumiwa kusaidia kupona haraka kwa wanyama waliojipata katika moto mbaya zaidi wa nyikani uliolikumba eneo la Pantal ...