Polisi nchini Tanzania imewakamata waganga 65 wa tiba za jadi wanaoshukiwa kuhusika na mauji ya kikatili ya watoto kusini magharibi mwa taifa hilo. Hii inafuatia mauaji ya watoto 10 katika maeneo ...