Muundo wa "Passive home" unahusu jengo linalohitaji nishati kidogo linaloundwa kutumia nishati ya jua na kuweka halijoto ya ndani ya nyumba yenye mahitaji ya nishati kidogo ya kupasha joto au kupoeza.
Madirisha yake ni yale yaliyotupwa baada ya kutolewa kwenye nyumba iliyokuwa imeeekwa madirisha mapya, huku injini yake ikiwa ni ya 'mtumba' yenye umri wa miaka 30. Kwa Rodrigo Martins ...