Katika ibada takatifu ya kuaga mwili wa rais wa zamani wa Tanzania Benjamini William Mkapa inayofanyika jijini Dar es salaam Tanzania, Familia yake imethibitisha kuwa alifariki kwa mshituko wa moyo.
Historia ya maisha yake, toka alipozaliwa mwaka 1938 na kukua katika familia ya kimasikini katika kijiji cha Lupaso, mkoa wa Mtwara mpaka kuwa rais ni simulizi ya kutia moyo. Mkapa naeleza namna ...
SWALI ambalo huko mtaani mashabiki wanajiuliza ni kwamba, hiyo mechi ya Kariakoo Dabi ipo au haipo? Hiyo ni baada ya kuahirishwa kwa mchezo huo namba 184 wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na ...
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) iliyopo jijini hapa imefanya operesheni ya kwanza ya ubongo kwa kutumia teknolojia ya ...