Wanasayansi wamebaini siri ya samaki wa dhahabu jinsi wanavyoweza kuishi chini ya maziwa yaliyofunikwa na barafu. Watafiti hao pia wamebaini kwa nini samaki na ni jinsi gani samaki hao hugeuza ...
Mwaka jana, samaki aina ya stigaree Java, alikuwa samaki wa kwanza kutangazwa ametoweka kwa sababu ya shughuli za kibinadamu. "Unaweza kuwaona wakiwa wamejizika chini ya mchanga," anasema Julia ...