Naomba chipsi mayai, nikaangie kuku au leo tutakula ndizi za kukaanga ama samaki wa kukaanga na ugali', haya ndiyo maisha ya wananchi wengi wa Afrika Mashariki yanayohusu vyakula. Vyakula vingi ...