kati ya Simba SC ya Tanzania na Club Sportif Sfaxien ya Tunisia uliofanyika jana. Mheshimiwa Waziri Kabudi amewataka mashabiki wanaoingia katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuacha vitendo vya uharibifu ...
KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa Kundi A katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku wachezaji wa timu huo wakitoa msimamo mzito kabla ya kushuka kwenye ...
Adhabu hiyo imekuja baada ya kutokea vurugu katika mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu dhidi ya CS Sfaxien uliofanyika Desemba 15, 2024 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, ...
13 Februari 2021 Mambingwa wa Tanzania Simba SC wameanza hatua ya ... Mchezo unaofuata kwa Simba utakuwa dhidi ya Al Ahly katika dimba la Mkapa jijini Dar es Salaam mnamo Februari 23.
Dar es Salaam. Siku moja baada ya kutangazwa kwa adhabu ya kuizuia Simba kucheza bila mashabiki katika mechi yake ya mwisho ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine ...
Ahmed Arajiga na Frank Komba ni miongoni mwa marefa 63 walioteuliwa katika orodha ya awali ya waamuzi watakaofanyiwa mchujo wa kuchezesha fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ...