Leo Jumamosi, Mei 8, mechi ya soka ya watani wa jadi Tanzania, Simba na Yanga itachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam ikiwa ni ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania msimu huu ...
Simba Instagram Ushindi huo umeifanya Simba imalize unyonge wa kufungwa na Yanga mfululizo, baada ya kufungwa kwa mikwaju ya penati 4-3 katika mechi ya fainali ya Kombe la Mapinduzi, Januari 13 ...
HII wikiendi ya kibabe kwelikweli kuanzia hapa nchini hadi Ulaya kuna mechi zinapigwa leo Jumamosi na kesho Jumapili huku ...
NYUKI wa Tabora leo wametulizwa nyumbani baada ya kufumuliwa tena mabao 3-0 na Simba katika mechi ya Ligi Kuu Bara na ...
KOCHA Mkuu mpya wa Yanga, Miloud Hamdi, ameweka wazi falsafa yake kuwa anapenda soka la kushambulia zaidi na kupatikana mabao mengi iwezekanavyo, akiwa tayari ameshawaelekeza wachezaji wake kufanya hi ...
TIMU za soka za Wanawake, Yanga Princess na Simba Queens, leo zitashuka kwenye viwanja tofauti Dar es Salaam, kusaka pointi ...
Droo ya hatua ya 32 bora ya Kombe la Shirikisho la CRDB, imechezeshwa leo, Februari 7, 2025 huku Simba na Azam zikipangwa ...
Matokeo hayo yameifanya Yanga kufikisha pointi 46 na kuendelea kuongoza msimamo wa ligi ingawa inaweza kupitwa na Simba ikiwa ...