Timu ya Young Africans Sports Club almaarufu Yanga, imeshika nafasi ya pili katika Kombe la Shirikisho la Afrika (CAFCC), linaloratibiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kufuatia kushindwa ...