Timu ya Young Africans Sports Club almaarufu Yanga, imeshika nafasi ya pili katika Kombe la Shirikisho la Afrika (CAFCC), linaloratibiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kufuatia kushindwa ...
WACHEZAJI wa Yanga wamerejea mazoezini baada ya kuwa na mapumziko ya takribani wiki moja tangu watoke kuichapa Coastal Union ...
Timu ya Yanga imewaomba Watanzania na wapenzi wa soka kote nchini Tanzania , kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu hiyo katika mechi yao ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya MC Alger ya ...
Simba ilikuwa na wachezaji wazoefu na wenye majina makubwa katika soka la Tanzania na Afrika kwa ujumla ambapo iliweka ...
Uongozi wa klabu ya Yanga umetangaza kuwa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliopangwa kuchezwa leo usiku dhidi ya Simba ...
Simba na Yanga Princess zimekutana mara 13 ambapo Simba Queens imepata ushindi mara tisa, Yanga Princess imeshinda mbili na ...
Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa ...
Kikosi cha Yanga jana kilikuwa uwanjani kuvaana na Coastal Union katika mechi ya hatua ya 32 Bora ya Kombe la Shirikisho, ...