RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi, ataanzisha serikali ya umoja wa kitaifa. Taarifa kutoka ...
Karibu kwenye kipindi cha leo ambapo tunaangazia tangazo la Rais wa DRC, Felix Tschsekedi, kuwa ataunda Serikali ya umoja ...
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa wito kwa wapiganaji wanaoipinga serikali katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya ...
Marekani imependekeza azimio lake lenyewe kwenye Umoja wa Mataifa juu ya vita vya Ukraine, likishindana na taarifa inayoungwa ...
Wafanyakazi 24 wa Umoja wa Mataifa, pamoja na wafanyakazi kutoka NGOs nyingine za ndani na kimataifa wameshikiliwa na waasi ...
Umoja wa Ulaya umerejesha upya vikwazo vyake dhidi ya Urusi na kukubaliana juu ya ramani ya kuondosha baadhi ya vikwazo ulivyoiwekea Syria. Uamuzi huu ulifikiwa baada ya mkutano wa mawaziri wa ...
Mchuano huo uliokwenda hadi mzunguko wa saba Youssouf ameshinda kwa kupata kura 33, baada ya Raila kuondoa jina lake.
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeingia makubaliano na Umoja wa Ulaya ya kuboresha utawala bora, ...
ADDIS ABABA, Ethiopia — Mkutano wa 38 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika umeanza mjini Addis Ababa, ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果