Nicola Shubrook, Mtaalam wa Lishe ,anaeleza kwa nini mizizi hii yenye utamu na yenye nyuzinyuzi nyingi, vitamini na madini, ni nzuri kwa afya yako. Viazi vitamu (Ipomoea batatas) ni mboga ya ...
Yeye hutumia zaidi mahindi lishe viazi lishe na soya. Anasema uandaaji wa unga huu unahitaji uzoefu na ufahamu mzuri wa lishe ya watoto bila kuwa makini unaweza hatarisha afya ya mtoto.
Tatizo la utapiamlo na udumavu kwa watoto katika Mkoa wa Simiyu ni kubwa, ambapo takwimu zinaonyesha kuwa linaathiri takriban ...