Vifaa vya mawasiliano vililipukaje? Wachambuzi wamekuwa wakieleza kushtushwa na ukubwa wa shambulio la Jumanne, wakisema Hezbollah inajivunia hatua zake za usalama.