Jeshi la Sudani Kusini lilitekeleza mashambulizi ya anga usiku wa Jumapili, Machi 16, kwenye mji wa Nasir, huko Upper Nile ...
Polisi nchini Uganda wamesema wamewakamata watu 120 katika baa moja mjini Kampala na kukamata dawa za kulevya katika operesheni hiyo. Baa hiyo inaruhusu wapenzi wa jinsia moja kuburudika katika ...
Siku chache baada ya chama tawala nchini Uganda, NRM kutangaza kuyakataa matokeo ya uchaguzi mdogo wa ubunge kwenye eneo la ...
Polisi nchini uganda wamethibitisha kwamba takriban watu sita wamefariki katika milipuko iliyotokea mjini Kampala mapema leo. Shirika la habari la Reuters linanukuu kituo cha televisheni cha ndani ...
Ameeleza pia Septemba, 2021 watu 10 walifariki kutokana na ajali ya boti kwenye ufukwe wa Pier Beach Homabay nchini Kenya.
WATU 700 wamepatiwa huduma za uchunguzi wa magonjwa ya moyo katika maonesho ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, ...
“Pia tumeazimia kuchakata na kufanya biashara ya kahawa angalau asilimia 50 ndani ya Bara la Afrika ifikapo mwaka 2035, na ...
Akiwapokea rasmi kwa niaba ya serikali ya Uganda, waziri wa masuala ya Kaskazini ... ya Kati pamoja na ile ya Uholanzi kwa kuwezesha watu 157 waliokuwa waasi wa LRA kurudi nchini katika kipindi ...