Mazao ya chai nchini Kenya mwaka huu yanatabiriwa kupungua kwa kiasi kikubwa kutokana na hali ya ukame mwaka jana. Kenya inaongoza duniani katika uuzaji wa chai hivyo hali hii itaathiri soko la ...