Baada ya kuanza vema mechi zao za michuano ya vilabu barani Afrika, makocha wa wawakilishi wa Tanzania, Azam FC na Yanga wamesema kuwa wana matumaini ya kusonga mbele katika mechi zao za marudiano ...
Simba ilikuwa na wachezaji wazoefu na wenye majina makubwa katika soka la Tanzania na Afrika kwa ujumla ambapo iliweka ...
Katika mchezo uliopita Tabora United iliifunga Yanga mabao 3-1 Uwanja wa Azam Compex, Chamazi Dar es Salaam, wakati huo ...
YANGA inapiga hesabu za kuwa na winga wa maana anayetumia mguu wa kushoto kwa msimu ujao na akili hiyo imetua kwa mtu mmoja ...
Refa huyo mwenye cheo cha mkaguzi msaidizi wa Polisi kutoka Dodoma amechezesha mechi sita za Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu ...
Yanga imezidi kujichimbia kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya leo, Aprili 2, 2025 kuibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora kwenye Uwanja wa Ali Hassan ...
NI mechi ya kisasi!, ndivyo unaweza kusema wakati Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga, watakaposhuka leo kwenye Uwanja wa Ali ...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi, ni kama ameicbhimba mkwara klabu ya Tabora United kwa kuweka wazi kuwa ni lazima wawafunge ...
Klabu ya Yanga ilitwaa taji lake la 30 la Ligi Kuu Tanzania Bara wakiandika historia ya aina yake, huku wakiwa wametwaa kombe hilo mara tatu mfululizo. Baada ya ubingwa unaoongeza historia ya ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果