Maelezo ya picha, Mwanamuziki wa kenya David Mathenge, maarufu kama Nameless akitumbuiza katika hafla hiyo Wizkid ambaye siku 6 zilizopita, alisherehekea siku yake ya kuzaliwa, alzaliwa mnamo ...
Mwanamuziki huyo wa wimbo 'Omo' aliwashinda wapinzani wake kutoka Afrika akiwemo mwanamuziki maarufu wa Tanzania Naseeb Abdul Juma maarufu Diamond Platinumz na Wizkid wa Nigeria. Chanzo cha picha ...