Katika ufunguzi wa mkutano wa kilele wa Umoja wa Afrika (AU), Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, amebainisha ...
Mzozo wa mashariki mwa DRC umekuwa kiini cha mkutano wa Baraza la Amani na Usalama (PSC) la Umoja wa Afrika (AU) unaoendelea ...
Vituo vya afya katika eneo lenye utulivu viliripoti kuanzia Januari 27 hadi Februari 2 jumla ya kesi 572 za ubakaji - ...
Watalaamu hao wamesema nchi za Afrika zinahitaji kuweka mkakati madhubuti wa kuongeza thamani kwa bidhaa, kuimarisha ...
(Nairobi) – Raia wa Afrika Mashariki na Upembe wa Afrika walikumbwa na athari mbaya za migogoro ya kivita kati ya majeshi ya serikali na vikundi vya waasi vya upinzani mwaka 2024, Shirika la ...
Mwaka 2017, Amina Mohamed wa Kenya alipata kura 16 katika duru ya kwanza dhidi ya kura 14 za Moussa Faki, huku kura ...
Mchuano huo uliokwenda hadi mzunguko wa saba Youssouf ameshinda kwa kupata kura 33, baada ya Raila kuondoa jina lake.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Kenya, Korir Sing’oei, ameipuuzilia mbali barua kutoka kwa Sekretarieti ya Jumuiya ...
Zimesalia saa chache tu, ambapo bara la Afrika na hususan mgombea kutoka Kenya, Raila Odinga kujua hatima yake ikiwa atakuwa mrithi wa Moussa Faki Mahamat kama mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (A ...
KODI ni muhimu katika kufadhili shughuli za maendeleo ya kiuchumi na huduma za umma Afrika Mashariki. Serikali ...
Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC imewasilisha kesi dhidi ya Rwanda katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu kwa ...
Jumuiya ya Afrika Mashariki imeitolea mwito Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kufanya mazungumzo na pande zote zinazohusika na mzozo wa mashariki mwa nchi hiyo wakiwemo M23 wanaoungwa mkono na Rwanda.