Kaskazini-mashariki mwa DRC, vikosi vya Uganda vinaimarisha uwepo wao. Wametumwa kwa miaka kadhaa kama sehemu ya makubaliano ...
Rais wa DRC Félix Tshisekedi amefanya ziara nchini Angola siku Jumanne 18 Februari kukutana na mwenzake wa Angola João ...
Afrika mashariki imejaa nyota katika ulingo wa kimataifa kwa kuipeperusha bendera yake .Iwe ni katika michezo, sanaa na sayansi watu mbalimbali wameziletea sifa nchi za Afrika mashariki katika ...
Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa na Ajak, uamuzi huo umefikiwa baada ya kikao cha Kamisheni ya Eala na viongozi wa ...
(Nairobi) – Raia wa Afrika Mashariki na Upembe wa Afrika walikumbwa na athari mbaya za migogoro ya kivita kati ya majeshi ya serikali na vikundi vya waasi vya upinzani mwaka 2024, Shirika la ...
Ufaransa imechelewa sana kuwa na ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi na mataifa ya Afrika Mashariki'', ameiambia BBC mchambuzi wa masuala ya kiuchumi Profesa Ibrahim Lipumba Jumatano.
TABIA Mwanjelwa, ni mmoja wa waimbaji wa kike wa mwanzo kabisa nchini Tanzania, ambeye amefariki dunia nchini Ujerumani, ambako amekuwa akiishi kwa zaidi ya miaka 35 tangu alipoondoka ...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya na Uhalifu, Ofisi ya ...
Ahmed Ally atashiriki droo ya hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na droo ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho ...
BENKI ya CRDB imetangaza mpango wa kupanua huduma zake hadi Dubai. Ni hatua inayoiweka benki hiyo kwenye ramani kama taasisi ...
Jumuiya ya Afrika Mashariki imeitolea mwito Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kufanya mazungumzo na pande zote zinazohusika na mzozo wa mashariki mwa nchi hiyo wakiwemo M23 wanaoungwa mkono na Rwanda.
Rais Cyrill Ramaphosa wa Afrika Kusini alizungumza na mwenzake wa Rwanda, Paul Kagame, kuhusiana na hali ya mashariki mwa Kongo, ambako waasi wa M23 wanaaminika kuungwa mkono na serikali ya Kigali.