Alisema visiwa vya Zanzibar ni lango kuu wakati Dar es Salaam ni mji wenye kazi nyingi za kutumikisha mabinti na watoto hasa biashara haramu ya ngono. “Zanzibar ni lango kuu na Dar es Salaam ndio ...