Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (Zura), imetangaza bei mpya elekezi kwa watumiaji wote wa umeme ... bei ya nishati ya uniti moja imeongezeka kutoka hadi Sh217 huku bei ya ...
Alisema visiwa vya Zanzibar ni lango kuu wakati Dar es Salaam ni mji wenye kazi nyingi za kutumikisha mabinti na watoto hasa biashara haramu ya ngono. “Zanzibar ni lango kuu na Dar es Salaam ndio ...
kisha baadaye watakwenda Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (Suza) na watakwenda kwenye vyuo vingine, lengo ni kuondoa mitazamo hasi ya kusoma kusubiri waje kuajiriwa, badala yake wafikirie kujiajiri. Pia, ...
Kisiwa cha Zanzibar ... Tofauti na jaribio lake la kwanza la kunyakua kiti, wakati huu Khalid alilizunguka kasri akiwa na askari wapatao 3,000 na wafuasi wake, wakiwa na mizinga na boti ndogo ya ...
Wasanii wa Muziki Afrika na Duniani kote wanakutana visiwani Zanzibar kufurahia uzuri na Upekee wa Muziki, wageni mbalimbali hukusanyika kushuhudia Tamasha la Sauti za Busara kila ifikao mwezi ...
Mwandishi huyo pia alikuwepo kwa ajili ya kuachiliwa kwa mara ya pili, katika eneo tofauti katika Jiji la Gaza, wiki iliyofuata, ambayo anaelezea kuwa "iliyojipangwa zaidi". Wapiganaji waliweka ...
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania TCRA imeendelea na kampeni yake ya ‘Ni Rahisi Sana’ msimu wa pili katika viwanja vya Nyamanzi Fumba Zanzibar. Kampeni hiyo inafanyika katika maonesho ya kimataifa ya ...
Siwezi kujivunia mapema. Wachezaji wangu watahitaji kupumzika kidogo kabla ya mechi zinazofuata,” alisema. Kwa upande wa Yanga, hali ni tofauti kabisa. Timu hiyo inahitaji kushinda michezo yake miwili ...