LEO Januari 12, imedondokea siku ile ya Januari 12, 1964. Ilikuwa ni siku ya Jumapili kama leo. Katika siku hii, Watanzania wanaadhimisha miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Wakati Wazanzibari ...
HOMA ya ini ni ugonjwa unaoelezewa kuwa ni kuvimba kwa ini. Ini ni kiungo katika mwili wa binadamu kinachofanya kazi muhimu sana kama kuchuja, kupambana na hata kuondoa sumu mwilini. Kuna vitu vingi ...