WAKATI Simba Queens inaendelea kujiimarisha katika msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL), mshambuliaji wa timu hiyo, Jentrix Shikangwa, amefunga hat trick ya tatu msimu huu katika mechi ya ...
Je wajua! Leo hii wasichana na wanawake milioni 230 duniani kote ni manusura wa ukeketaji wanawake na wasichana, FGM? Je wajua kuwa FGM ni ukiukaji wa haki za binadamu unaosababisha majeraha makubwa ...
Dar es Salaam. Ikiwa imesalia miezi minane kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, wito umetolewa kwa wanawake kutambua kwamba tatizo la rushwa ya ngono linaweza kuwa kikwazo, ...
Karibu wanawake 200 waliuawa nchini Kenya mwaka jana, katika matukio ya ukatili wa kijinsia. Idadi hii ambayo ni karibu mara mbili ya ile ya mwaka uliopita imetolewa na makundi yanayofuatilia ...
MWIGIZAJI Irene Uwoya amemtakia heri Rais Samia Suluhu Hassan katika siku yake ya kuzaliwa hapo kesho na kutangaza zawadi aliyokuja nayo ni kuazisha kampeni ya mradi unaoitwa Jembe ni Mama lengo ...
Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yatakayofanyika kitaifa Machi 8, 2025, mkoani Arusha. Hayo yamesemwa leo Ijumaa, Januari ...
Baadhi ya Waislamu hawapeani mikono na wanawake ambao si wake zao, wanaamini ni dhambi kuwagusa wanawake wasio wake zao. Yapo matukio mengine ya Waziri Mkuu huyo akiwasalimia wanawake bila ya ...
Wakati alipokuwa na desturi ya kunyoa hakuwa na changamoto zozote kwani alifanana kama wanawake wengine wa kawaida. Haipatikani tena Mwisho wa Facebook ujumbe Haipatikani tena Tazama zaidi katika ...