Dar es Salaam. Mapigano yanayondelea Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) yameendelea kusababisha mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu, ikiwamo ubakaji wa raia na vurugu kwenye balozi sita nchini ...