Alizitaja sababu hizo ni ni kasi ya mabadiliko ya kiteknolojia itakayosababisha baadhi ya kada nyingine kukua na nyingine kutoweka. Sababu ya pili ni utandawazi ambao unatoa fursa ya bidhaa na huduma ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la Mwaka 2023 na kuahidi kuwa serikali itapitia upya maslahi ya kada ya walimu ili kuipa hadhi inayostahili. Pia amesema ...
“Kuna madaktari, wauguzi wameajiriwa vituo kadhaa, ustawi wa jamii, wataalamu wa maabara, maofisa miradi wanaofanya tathmini ya miradi, wahasibu, wanaoshughulika na ugavi, wafanyakazi kada ya kati ya ...