Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, George Simbachawene. Na Ramadhan Hassan, Mtanzania Digital Serikali imetangaza kuanza kwa usaili wa kada ya ualimu kuanzia Januari 14 hadi 24 ...
Alizitaja sababu hizo ni ni kasi ya mabadiliko ya kiteknolojia itakayosababisha baadhi ya kada nyingine kukua na nyingine kutoweka. Sababu ya pili ni utandawazi ambao unatoa fursa ya bidhaa na huduma ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la Mwaka 2023 na kuahidi kuwa serikali itapitia upya maslahi ya kada ya walimu ili kuipa hadhi inayostahili. Pia amesema ...
“Kuna madaktari, wauguzi wameajiriwa vituo kadhaa, ustawi wa jamii, wataalamu wa maabara, maofisa miradi wanaofanya tathmini ya miradi, wahasibu, wanaoshughulika na ugavi, wafanyakazi kada ya kati ya ...
SERIKALI inatarajia kuanza kufanya usaili wa kujaza nafasi 14,648 kwa kada ya wal imu kwa shule za msingi na sekondari unaolenga kupunguza uhaba nchini. Aidha, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa vibali ...
Naitwa Mama Tamara kutokea Zanzibar, naweza kusema ilisalia kidogo tu niweze kuondoka katika ndoa yangu baada ya maneno kutoka kwa ndugu wa mume; walikuwa wanadai sina faida kwa ndugu yao maana ...
Daniel Chapo, 47, anakabiliwa na kibarua kikubwa ya kuliunganisha taifa. Na Asha Juma & Ambia Hirsi Mkataba wa kusitisha mapigano utatekelezwa kwa awamu kadhaa kwa mujibu wa maelezo yaliyokuwa ...