Ndani ya tufe kubwa, wahandisi wanatazama vifaa vyao. Kifaa kama sanduku ambalo wanatumaini siku moja litatengeneza oksijeni mwezini. "Tumejaribu kila kitu tunachoweza duniani," anasema Brant ...
TUME ya Rais ya Maboresho ya Kodi, imefika mkoani Pwani, kwa ajili ya kukusanya maoni, pamoja na kupokea mapendekezo ya namna ya kuboresha masuala ya kodi nchini. Tume hiyo ikiongozwa na Makamu ...
Ikiwa unataka kumshughulikia mtu wa jinsi hii, basi yakupasa ujipange vema na kuhakikisha taarifa au madai uliyonayo dhidi yake yana ukweli na nguvu. Mara utakapojaribu kumjibu kwa jeuri utajikuta ...
Mwananchi ilifanya mahojiano na wataalamu mbalimbali kuhusu umuhimu wa kiafya katika kutumia mafuta yaliyo bora na nini athari zake endapo mtu hatafanya hivyo na namna ya kuziepuka athari hizo.
Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwama na kuangazia kwa namna gani wakazi wanaozunguka migodi ya madini kupitia uwajibikaji kwa jamii. Mchango wa Sekta ya Madini katika Pato la Taifa umekua ...
Man United imeongeza kasi ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Mali El Bilal Toure, 23, ambaye kwa sasa yuko kwa mkopo Stuttgart kutoka Atalanta. (TeamTalks), Tottenham Hotspur wanaonekana kuwa ...
Mkazi wa Yombo Dovya, anayefanya biashara ya chapati, ambaye hakutaja jina lake, alisema alinunua mafuta ya kupikia dukani ambayo aliyatumia kukaanga chapati kama kawaida ambazo hata yeye alikula.
NDANI ya Yanga ni sawa na kile kidonda ambacho kinaonekana kimepona nje lakini ndani bado kuna shida. Baada ya timu hiyo kutolewa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua hiyo imewavuruga viongozi wao na hata ...