Ndani ya tufe kubwa, wahandisi wanatazama vifaa vyao. Kifaa kama sanduku ambalo wanatumaini siku moja litatengeneza oksijeni mwezini. "Tumejaribu kila kitu tunachoweza duniani," anasema Brant ...
Vyanzo vingine ni matatizo ya mamlaka – mfano misuguano na mabosi, misongo binafsi ya mawazo, uchu wa kutimiza majukumu, kutokuwa tayari kukubali majukumu, kushindwa kuishi au kufanya sawasawa na ...
"Walianza kupaza sauti 'Mungu ni mkuu zaidi' , hiyo ilionesha jinsi walivyokuwa na furaha." Mwandishi huyo pia alikuwepo kwa ajili ya kuachiliwa kwa mara ya pili, katika eneo tofauti katika Jiji ...
Ikiwa unataka kumshughulikia mtu wa jinsi hii, basi yakupasa ujipange vema na kuhakikisha taarifa au madai uliyonayo dhidi yake yana ukweli na nguvu. Mara utakapojaribu kumjibu kwa jeuri utajikuta ...
TUME ya Rais ya Maboresho ya Kodi, imefika mkoani Pwani, kwa ajili ya kukusanya maoni, pamoja na kupokea mapendekezo ya namna ya kuboresha masuala ya kodi nchini. Tume hiyo ikiongozwa na Makamu ...
Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwama na kuangazia kwa namna gani wakazi wanaozunguka migodi ya madini kupitia uwajibikaji kwa jamii. Mchango wa Sekta ya Madini katika Pato la Taifa umekua ...
OFISA Mwandamizi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Carol Makundi amesema Watanzania wengi wamekuwa wakihofia kutumia umeme kama nishati ya kupikia kwa kudhani kuwa gharama zake ni kubwa, huku ...
Viongozi na wakuu wa nchi zaidi ya 50 za Afrika wanakutana katika mkutano wa bara hilo kuhusu nishati utakaoanza rasmi hivi leo jijini Dar-Es-Salaam huko Tanzania. Ajenda kuu ya mkutano huo ...
NDANI ya Yanga ni sawa na kile kidonda ambacho kinaonekana kimepona nje lakini ndani bado kuna shida. Baada ya timu hiyo kutolewa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua hiyo imewavuruga viongozi wao na hata ...