Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wamekwama kutinga hatua ya robo fainali ya mashindano hayo baada ya kutoka sare tasa nyumbani juzi, Jumamosi dhidi ya MC Alger ya Algeria.
Watoto wanahitaji kuona nidhamu siyo kufanyiwa fujo. Onesha upendo hata katika kumuadabisha mwanao. Huna haja ya kutengeneza uadui. Kuwa kioo cha namna ya nidhamu unayoitaka Watoto hujifunza zaidi kwa ...
Staa wa Bongofleva, Nandy tayari ametangaza ujio wa albamu yake ya pili ambayo inatarajiwa kutoka mwaka huu ikiwa ni miaka tisa tangu alipotoka kimuziki na kibao chake, Nagusagusa (2016) chini ya ...