Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wamekwama kutinga hatua ya robo fainali ya mashindano hayo baada ya kutoka sare tasa nyumbani juzi, Jumamosi dhidi ya MC Alger ya Algeria.
Watoto wanahitaji kuona nidhamu siyo kufanyiwa fujo. Onesha upendo hata katika kumuadabisha mwanao. Huna haja ya kutengeneza uadui. Kuwa kioo cha namna ya nidhamu unayoitaka Watoto hujifunza zaidi kwa ...
Staa wa Bongofleva, Nandy tayari ametangaza ujio wa albamu yake ya pili ambayo inatarajiwa kutoka mwaka huu ikiwa ni miaka tisa tangu alipotoka kimuziki na kibao chake, Nagusagusa (2016) chini ya ...
Kuna kundi lingine unakuta mtu ana fedha na soko analo lakini hakui, kumbe inakuwa hana elimu ya fedha, kwa hiyo hao nao wanapewa elimu ya fedha na ZEEA. “Mwingine unakuta hana uwezo wa kutengeneza ...
Uamuzi wa BBI unaosubiriwa kwa hamu unatarajiwa kutolewa hii leo katika mahakama ya rufaa Katika mawasiliano kwa pande husika, mahakama hiyo inasema uamuzi huo utasomwa na majaji saba. Hatahivyo ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果